Hahahahahahahahaaaaaa my ribs yani nacheka mpaka machozi khaaa"YOU LEFT SINCE YOUNG" - MH MH MH ..... Haya, wahenga msaidieni mwenzenu...
Uwiiiiiiii jamani wabongo heshima zenuTUNAOMBA MAGUFULI ALEGEZE KIDOGO VINGNEVYO MACHIZI WATAONGEZEKA BONGOLAND.. MAANA CHIZI WA KWANZA HUYU HAPA, AMEUZA LAPTOP, AKAINGIA KWENYE KUKU WA KIENYEJI LAKINI AMEDUNDA.
AMEWEHUKA NA SASA ANATUMIA UTAPELI..
Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiii jamani huyo apelekwe hospitalAkikumbuka kiswahili atatupa mrejesho wa biashara yake ngoja tusubirie itakuwa kumbukumbu zinaingia na kutoka [emoji28][emoji28]
Aiseee nimesoma comments na bado naendelea kucheka.......watanzania hatuna dogo hahagahahahahahahaaaa BIGstallion naomba uwe unanishtua sehemu kama hizi maana ni full raha
Ngoja niutafute ila kuna mmoja nimeshauona.......Bwahahahahaha ntafany ivo,.. Kuna Uzi wa uyu mdau anauza laptop umeuona??
Fa. La kweli sijui amezaliwa masika,.. Haeleweki kama chizi au mzima gadaammeeNgoja niutafute ila kuna mmoja nimeshauona.......
Hahahahahahahhahaaaaaa naona aliamua kujitia uchizi na watu wa jf wakamfurahisha......hahahahahahahaFa. La kweli sijui amezaliwa masika,.. Haeleweki kama chizi au mzima gadaammee
Hahahahahahahhahaaaaaa naona aliamua kujitia uchizi na watu wa jf wakamfurahisha......hahahahahahaha
Hahahahahahhahahaahaaaaaa hapa ni makavu liveWamempa makavu naona yamemwingia harudi tena uyo, shubamiitttt
Hahahahahahhahahaahaaaaaa hapa ni makavu live
Hahahahahhahahahaahahahahaaaaaaaa aje tuCurious gal unachochea eh? Atakutukana kizungu
Heheheheheeheheheheheeeeeee my black american unajua kunifurahishaUnaona kupatwa kwa mwezi sasa ivi inatokea angalia mwezi so amazing
Thats my boy Jerrymsigwa [emoji23][emoji6]U need to present ur bank statement..no one will hesitate
Hahahahahahahahahaaaaaaaaa aiseeeeeee mpaka kumbukumbu zimerudi........baba hii ndo jf next time uende english course ndo uje tena hapa KIBOD3Kabisa
Kumbukumbu zimerudi sasa anajua kiswahili [emoji26]
Sasahivi yupo vizuri, I really like him [emoji6]
Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa.......nataka kuku kama 1000000 hivi nina shida naoCurious gal au wewe ni mteja wa kuku wa kienyej?
Jirani yangu huyu huku kwetu Kwamtogolepumbafu! npm haraka wewe uko manzese unadanganya waTU PUMBAFU!