I need a friends from Tanzania

king kibo lugha lugha bhana hebu tu endelea na wa huko hii lugha sijaielewa kabisa
Kweli huwezi kuielewa na hio sign yako mkuu, the best of revenge is to forgiveness ha ha ha kweli nyani haoni kundule
 
Hahahahahahahahahaaaaaaaaa aiseeeeeee mpaka kumbukumbu zimerudi........baba hii ndo jf next time uende english course ndo uje tena hapa KIBOD3
Hahahahahaha nimefurah huu uzi kuwa na wachangiaji wengi ndo uzi wangu ambao nasema umekiki
 
KUNA UZI MWINGINE UNAKUJA WADAU HUMUHUMU
PAMBANA NA HALI YAKO
 
Hahahahahaha nimefurah huu uzi kuwa na wachangiaji wengi ndo uzi wangu ambao nasema umekiki
Unatafuta kiki kwa pikipiki hahahahahahahaaaa my ribs na tumejua kukunyoosha mxiewwwwww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…