I need a friends from Tanzania

Unatafuta kiki kwa pikipiki hahahahahahahaaaa my ribs na tumejua kukunyoosha mxiewwwwww
Utakuwa huna kazi za kufanya ww kwa jinsi ulivyochangia mara nyingi mdogo wangu anyway njoo nikuajiri ufagie banda la kuku
 
Kwanza mimi sio mdogo wako sina undugu na wewe.......yah ni kweli sina kazi wala haujakosea ila sina muda wa kuajiriwa na mtu kama wewe......you are such an as.. h..o...l...e
 
Aiseeee.......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Umenichekesha hapo kwenye umiziaji
 
Kwanza mimi sio mdogo wako sina undugu na wewe.......yah ni kweli sina kazi wala haujakosea ila sina muda wa kuajiriwa na mtu kama wewe......you are such an as.. h..o...l...e
akili zako zinaonesha ww ni mdogo wangu nilikuwa nataka kukusaidia angalau upate hella ya makeup na weaving dogo ctak uwe tegemezi umtegemee shem nifate inbobo nkupe kazi
 
Kwanza una mwandiko mbaya sijawahi ona dunia nzima........pili sina muda huo wa kujibizana na wewe maana nitaonekana na mimi sina akili kama zako period
 
Kinajifanya kinajua sana hiki
Na mm leo nakunyoosha kutwa kukaa ktk social network afu jobless yan ww ni zero brain wenzako tunatumia hizi social network kutafuta hella ww unapiga soga nmeuza kuku zang kibao napiga hella tu
 
Okay
 
Bora angeandika kwa herufi ndogo kupunguza makali!
Wengine wanadhani kukaa ughaibuni kunawafanya wawe bora sana kuliko. Utakosaje wajomba, binamu, watoto wa nani sijui na wengineo wanaokujua uje utafute rafiki Jamii forum wa kukutembeza? Wanaokwenda huko kutoka huku wanao ndugu hapa nchini na siku zote hao ndio wanaowatembeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…