I need a friends from Tanzania

I need a friends from Tanzania

Wee dogo Kibode sijui kimini au kishimizi mkome kumsumbua wifi yako nakuona toka jana unamfuatilia..
Tatizo dem wako anashobokea dude mwenyewe i think ww utakuwa na kibamia maaanake mtt anavyoshobokea dude
 
Sema "No, I am not single."

Kiingereza hakikubali kuchanganya hasi na chanya.

Kiswahili ukiulizwa "kwa hiyo hujaoa?" Kama bado hujaoa unatakiwa kusema "Ndio, sijaoa."

"Yes, I am not single" tuseme sisi tunaojifunza sio wewe Mmarekani unaetafuta soko la kuku wa kienyeji Tanzania.
Yes n mm vp unataka na ww
Me napiga hella we endelea kupiga soga
 
Back
Top Bottom