Ulikuwa unabeep, sasa umeona mateso ya upweke unataka tena.
weka committment jiapize kama atayejitolea kuwa nawe hutabreak tena maana waweza ukawa mchezo wako na wakaona unataka kuweka road test kila mara. Fikiri, chukua uamuzi sasa
Ulikuwa unabeep, sasa umeona mateso ya upweke unataka tena.<br />
weka committment jiapize kama atayejitolea kuwa nawe hutabreak tena maana waweza ukawa mchezo wako na wakaona unataka kuweka road test kila mara. Fikiri, chukua uamuzi sasa
Mimi samahani humu Jamvini lakini asilimia kubwa kwenye relationship za Uchumba kina Dada wako fasta saana , wanapenda kuona vitu vinahappen haraka mno , kama mkaka hauko na uvumilivu na kuhimili vishindo vyao kweli wao tuu ndio watalaumiwa , nafikiri wakati mwingi kabla ya pingu za maisha huwa hawajiamini , ni mtazamo wangu tuu wa dada wa Jamvini humu au ?