I need a girl for causul date

I need a girl for causul date

BenMcAfee

Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
71
Reaction score
6
Broke up about a year ago..I av bn lvn like a dead body..
If you cn be n you need to be you are always welcome as long as ma door is open.
 
Ulikuwa unabeep, sasa umeona mateso ya upweke unataka tena.
weka committment jiapize kama atayejitolea kuwa nawe hutabreak tena maana waweza ukawa mchezo wako na wakaona unataka kuweka road test kila mara. Fikiri, chukua uamuzi sasa
 
Halikuwa tatizo la upande wangu alikuwa binti ndie mwenye matatizo mkuu
Ulikuwa unabeep, sasa umeona mateso ya upweke unataka tena.<br />
weka committment jiapize kama atayejitolea kuwa nawe hutabreak tena maana waweza ukawa mchezo wako na wakaona unataka kuweka road test kila mara. Fikiri, chukua uamuzi sasa
<br />
<br />
 
Watu wengi wanao kusana na wapenzi wao hawasemi kua kosa lilikua nilakwao,wachache sana wanakubali wengi wao wanajifanya vipofu...
 
Mimi samahani humu Jamvini lakini asilimia kubwa kwenye relationship za Uchumba kina Dada wako fasta saana , wanapenda kuona vitu vinahappen haraka mno , kama mkaka hauko na uvumilivu na kuhimili vishindo vyao kweli wao tuu ndio watalaumiwa , nafikiri wakati mwingi kabla ya pingu za maisha huwa hawajiamini , ni mtazamo wangu tuu wa dada wa Jamvini humu au ?
 
Back
Top Bottom