I need A Girl : Where are you Cute Girl blessed with Inner & Outer Beauty?!!.

I need A Girl : Where are you Cute Girl blessed with Inner & Outer Beauty?!!.

Well said Sir.But just consider the first ones.You never know.Or you want a graduate ones??,OK..wish you the best.Hope you will find a suitable one!!
Am not looking for the girl who is graduate nor postgraduate, I am just looking for the girl who is cute inside out and who can touch my heart!! hata awe anajua tu kusoma kuhesabu na kuandika tu yaani zile KKK kama Bashite it does not matter..ilimradi tu we cope and mingle!!
 
acha kupotosha umma....kuna kosa gani kumsema kuwa hakuna aliyemeet my standards?!! sasa dharau zinatoka wapi hapo?! mbona wabongo wachonganishi hivi?! hahaha
Hahahaha!nimeona umemquote Asprin kuwa hujawahi tongoza miaka nane sasa na wanawake ndo wanashoboka [emoji87][emoji87][emoji87] duuh!jaman wadada wenzangu mnakubaliana na hili kweli na haya ndo madharau yenyewe sasa ila mbona wanawake ni wengi ina maana kweli kabisa hujapata au ndo tuseme vepee.

Halafu sipotoshi umma ni wazi kabisa umewadisgrade hao waliokufata and there are hundred ways kujielezea fresh sana ila sio kwa kimombo hicho manake sasa ukute yupo ataefikia standards zako ila kwa lugha hiyo ya malkia akashindwa kukuelewa[emoji16][emoji16]
 
Am not looking for the girl who is graduate nor postgraduate, I am just looking for the girl who is cute inside out and who can touch my heart!! hata awe anajua tu kusoma kuhesabu na kuandika tu yaani zile KKK kama Bashite it does not matter..ilimradi tu we cope and mingle!!
Yupo dadangu aitwa mumu, ni mzuri balaaa, roho yake sio ya nchi hii hadi naona wivu kwa atakaye muoa.
Cc@mumu
 
Yupo dadangu aitwa mumu, ni mzuri balaaa, roho yake sio ya nchi hii hadi naona wivu kwa atakaye muoa.
Cc@mumu
Asante sana kaka kwa taarifa muhimu zakiintelijensia!! Mumu inaonekana si haba!! aisee ngoja nijaribu bahati kwake!!
 
ndo mana mikataba ni mibovu
maana mi baada ya kuona ung'eng'e tu nimeamua kukomenti
kama mimi nimeona uvivu kusoma lugha ya walamba chokileti hata anayetafutwa hatousoma huu ujumbe
[emoji23] [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom