I need a male friend to chat with

I need a male friend to chat with

Mama kdev,

1. What is your foremost strength in casual relationship?
2. Is 'smiling' among of your best talents ever?

By the way, I think your inbox might now be overloaded with the so called 'friend-seekers'! As such, feel free to recruit me as your 'Consultant' to advise you on how to select an ideal 'male friend' pursuant to your thread parameters.

N.B: I am NOT on whatsap kwasasa coz TCRA tayari wamesha-apply 'hapa kazi tu' kwenye kitecno changu kanyaboya. Given the circumstances, I would therefore highly recommend that we keep in touch through sanduku la posta.

-Kaveli-
 
Mbona tulianza kuchati lakini baada ya siku mbili ukapotezea. Hata ile no ya whatsaap uliyonipa hutumii tena. Acha hizo Mungu hapendi.
 
Lengo Hasa Ni Nini? Maana Hyo Chattin Ni Means To An End Sasa End Yenyewe Ni Nini,,,,,nimewaza Kwa Sauti Tu
 
WATU WAKO THIRSTY THO,,,,,.Haya Nenden Mkachati Na Huyo Shababi.,,,,,the Thirst Is Real SMH
 
Mama kdev,

Mimi nakuona kama jasiri, wapo watakao kudhihaki kwa maneno mabaya, wapo watakaokupongeza.
Ila juu ya yote ni vizuri kwamba umekuwa wazi kuwa unahitaji "a male friend for chatting". Bila kuathiri malengo na matarajio yako sioni ubaya wowote kwa unachokitaka.
Friendship is a good thing.

All the best Gire.
 
Back
Top Bottom