I need a male friend who is serious and can later turn into a serious relationship if we're compatible

I need a male friend who is serious and can later turn into a serious relationship if we're compatible

Haya mambo ya kuwekana friendzone yashapitwa na wakati bibie,

Kama uko serious wahitaji mtu, nenda straight kwny point na weka vigezo vyako mezani, wajichuje mapema.

Hizi nyuzi mnazoandika na kuacha Zina ninginia hewani, zenye dilemma kibao.

Ukianza kuambiwa maneno magumu magumu, chonde chonde usirushe matusi🙏.
 
Wanasheria tuna kausemi ka kilatini kanasema Let's ipse loquitour yaani jambo linajithibitisha au kujisemea lenyewe bila kuhitaji ushahidi mwingine huru wa kuliunga Mkono

Time and nature always never lie
 
Back
Top Bottom