Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
[emoji6] [emoji6] Wewe huwezi niiba.. maana kabla haujaniiba nimeshakuiba saa nyingi.Una wasiwasi tutaibana, siwezi kukuiba...Strictly Business hapa.
Vyakuiba sio vizuri, omba utapewa.[emoji6] [emoji6] Wewe huwezi niiba.. maana kabla haujaniiba nimeshakuiba saa nyingi.
Nilijua nitasumbuliwa eti ndiyo nikaamua niibe kwanza kuomba nikishakufikisha.Vyakuiba sio vizuri, omba utapewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua nitasumbuliwa eti ndiyo nikaamua niibe kwanza kuomba nikishakufikisha.
Haaa hujaelewa, ndio mana kataka aliyemzid umri hahahahha vijana wanapenda kulelewa sana siku hizisasa kama huna kazi wala pesa,huyo mwanamke utampa nini?
Italipa sana hiyo biashara... naomba niwe shareholderNafikiria kufungua kampuni ya MATCHMAKING, niwe Matchmaker.
Nitatoa 5years Guarantee or Money Back.
Italipa sana hiyo biashara... naomba niwe shareholder
mwanza kwetu,
Wakati huu..anzisha mkuu usaidie vijana wetu.Tukifanikiwa....nitakutafuta
Vipi amegusa umbo lako?Unaringaa sana ndio tatizo wala sikutakii heri eti unataka warefu sio wafupi hutaki mwanamke tegemezi unataka mwenye kazi yake nzuri so unataka utunzwe sindio hiyo ndio dalili eti hutaki mwanamke mwembamba unataka umbo namba nane na ujue hao wanatunzwa sio wanaumbo namba nane kihivi tu.
Au ndio unawataka ili wanaotunza hiyo migodi uhemee dhubutu???