Nina umri wa miaka 29.
Naishi Dar es salaam. Nimeajiriwa katika sekta binafsi.
Jamani mimi ni kama vile nina utofauti sana. Sivutiwi na waschana wa umri wangu kabisa. Naweza nikawa nae na nisihisi furaha yoyote ya kuwa katika mahusiano.
Ila nikiwa na mwanamke mwenye umri mkubwa nafurahi sana. Najihisi nipo katika mahusiano.
Wa mwisho kuwa nae tuliachana mwaka 2016. Kwa sababu alinidanganya hana mume kumbe ni mke wa mtu.
Sio kwamba nasema hivi kwa sababu ya pesa, labda nataka niwe Serengeti boy. Hapana. Sihitaji pesa ya mwanamke. Ninafanya kazi napata pesa.
Nikipata mwenye sifa zifuatazo nitafunga ne ndoa.
-Umri 35 - 45.
-Anajishughulisha na shughuli yoyote halali.
-Mnisamehe kwa hili: sipendi mwanamke mfupi sana.
-Dini yoyote
-Kabila lolote
-Elimu angalau ya form 4.
Narudia: Sihitaji pesa ya mwanamke, nina kazi yangu. Kwahiyo sisemi hivi kwa sababu ya pesa.