- Thread starter
- #21
Achana na vitu visivyo na maana.Umri wako mbona unasonga taratibu sana?
2013👇
2021👇
Hayo mavitu ya 2013 yana faida gani kwako ?
2013 rais alikuwa Kikwete, Leo rais ni S.S.Hassan.
2013 sukari robo ilikuwa inauzwa 400 leo 800.
2013 blackberry zilikuwa ndio simu, leo kuna mi-smartphone ya mchina kibao. Blackberry lishakuwa kopo.
Mambo ya 2013 subiri wenzio wa 2013 myajadili kama unaona yana faida.