Achana na vitu visivyo na maana.Umri wako mbona unasonga taratibu sana?
2013π
2021π
Jamaa ni vampire usiogope kuhusu umri wake kusonga taratibu.[emoji23]Umri wako mbona unasonga taratibu sana?
2013[emoji116]
2021[emoji116]
Lazma akimbie [emoji23][emoji23][emoji23]Umri wako mbona unasonga taratibu sana?
2013[emoji116]
2021[emoji116]
[emoji28]Jamaa ni vampire usiogope kuhusu umri wake kusonga taratibu.[emoji23]
Ume panic badala ya kutoa majibuAchana na vitu visivyo na maana.
Hayo mavitu ya 2013 yana faida gani kwako ?
2013 rais alikuwa Kikwete, Leo rais ni S.S.Hassan.
2013 sukari robo ilikuwa inauzwa 400 leo 800.
2013 blackberry zilikuwa ndio simu, leo kuna mi-smartphone ya mchina kibao. Blackberry lishakuwa kopo.
Mambo ya 2013 subiri wenzio wa 2013 myajadili kama unaona yana faida.