I need company....to heal my wound

I need company....to heal my wound

Spinster

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
487
Reaction score
138
Hi wana mmu..
kama heading isemavyo..nna wakat mgumu mpnz nliyempenda na kumwamin ameniacha..2medumu kwa miaka2,kaniacha bla kuniambia sabab sasa ni mwez wa2 but nashndwa kumtoa akilin,nitaj company especial ya mkaka alie mcheshi,mkalimu,na atakaeweza kunifanya nisahau maumivu kwan nahc kuzidiwa kila cku zinavyozd kwnda
NB..wat i nid is jst a frnd,am 22 of age..
 
just a freand..? Kwanini asiwe wa kike sasa? All da best lakin...
 
Mimi nikiwa na mawazo nina rafiki ambaye hawezi niangusha kama marafiki wengine hata siku moja. Marafiki wengi ni lazima tu atakuumiza japo siku moja na hapo inahitaji hadi mapatano. Lakini rafiki huyu anifarijiye ni wa pekee sana. Je unataka kumfahamu. Anaitwa Yesu Kristo mnazareti na mawasiliano yangu naye ni kupitia maombi. Labda nawe ujaribu kwa huyu rafiki asiyejua kumwangusha kwa namna yoyote ile rafiki yake.
 
Ushauri wangu, fukunyua MIZOMBII yako ya zamani utakuta japo mmoja wa kukufariji! Sababu ni only friendly company, mimi humu ndani namuamini mmoja tu, mzee wa CREDIBILITY!!!! a.k.a The Boss atakufaa sanaaaa, na ni mpinzani mkubwa wa KUONJA ONJA!!! LOL! The Boss nimekupa bao la kisigino hilo ushindwe mwenyewe!!! (USINUNE SANA!! The Boss)
 
Last edited by a moderator:
nipm nikuunganishe kwa sm1, shosti lara 1 baba mkwe mtanange wao saa ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana madam, usihofu, umri wako mdogo sana unaweza kupata kifaa kingine. Mapenzi ni kama kiti cha basi, akinyanyuka anakalia mwingine.
 
nipm nikuunganishe kwa sm1, shosti lara 1 baba mkwe mtanange wao saa ngapi?
 
Last edited by a moderator:
sema tu unahitaji mpenzi wa kukuliwaza ...pole angalia asijekukuongezea maumivu miezi miwili ni michache bado unatakiwa kutuliza akili kwanza
 
Back
Top Bottom