Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
.....kata mti panda mti? Wrong!.... At 22yrs huhitaji kutafuta wa kukuliwaza, ....jijengee/jiweke kwenye mazingira ya KUTAFUTWA!
Umeona na wewe swahiba wangu,
Yaani kana miaka 22 na tayari kanahangaika na midume?
Kakizidisha hiyo miaka mara 2 katakuwaje??
Nahofia miguu isijeota magamba kama ya sangara au kakaokota makopo kabisa!
Babu DC!!