sema tu unahitaji mpenzi wa kukuliwaza ...pole angalia asijekukuongezea maumivu miezi miwili ni michache bado unatakiwa kutuliza akili kwanza
hahaha naona unataka kumuongezea maumivu ya kuachwa kimya kimya
pole sn mpendwa,yaan hawa watu sijui wakoje jamani.Nakushauri utulie kwanza kabla hujafikiria kuingia ktk mahusiano tena,hali kama hiyo iliwahi kunitokea nilijitahid sn kuizoea na hatimae nilifanikiwa so i am now enjoying the status of being single.
Mimi nikiwa na mawazo nina rafiki ambaye hawezi niangusha kama marafiki wengine hata siku moja. Marafiki wengi ni lazima tu atakuumiza japo siku moja na hapo inahitaji hadi mapatano. Lakini rafiki huyu anifarijiye ni wa pekee sana. Je unataka kumfahamu. Anaitwa Yesu Kristo mnazareti na mawasiliano yangu naye ni kupitia maombi. Labda nawe ujaribu kwa huyu rafiki asiyejua kumwangusha kwa namna yoyote ile rafiki yake.
Hi wana mmu..
kama heading isemavyo..nna wakat mgumu mpnz nliyempenda na kumwamin ameniacha..2medumu kwa miaka2,kaniacha bla kuniambia sabab sasa ni mwez wa2 but nashndwa kumtoa akilin,nitaj company especial ya mkaka alie mcheshi,mkalimu,na atakaeweza kunifanya nisahau maumivu kwan nahc kuzidiwa kila cku zinavyozd kwnda
NB..wat i nid is jst a frnd,am 22 of age..