I need company....to heal my wound

wee umeniuza au umenisusa??

Bora nimwite Bishanga wa visiwa vya Melvades aje aniuze vizuri.

 
Last edited by a moderator:
Iko siku utamshukuru Mungu kwamba huyo jamaa alikuacha.
Si ajabu umeepushwa na makubwa.
Ila si kweli kwamba kumfunika kwa kutumia company nyingine itasaidia.
Wengine wata take advantage.
 
is too soon kutafuta wa kukuliwaza.hiyo itakuwa ni rebound tu.wewe ji keep busy na jf.mambo ya mapenzi ndivyo yalivyo.please usijiingize katika mahusiano mengine kwa sasa
 

umeanza na match making pia?
hushindwi kitu naona?
 

You just need a friend to make you forget ur ex or sijakuelewa vizuri?
 
Pole sana dada,najua unavyojisikia lakini ni jambo la kumshukuru Mungu kakuacha bila kilema utapata wa kwako wala usijinyime raha bure kwa huyo aliyekuacha utapata magonjwa bure yasiyo tibika maana siku hizi pressure za kushuka wala haziwapati wazee tu vijana kibao wanazo sasa kwanini ujipe ugonjwa wa moyo wakati unaweza uzuia.Tulia wala huhitaji papara,tatizo kizazi chetu tunajiingiza katika mahusiano tukiwa bado kabisa age of 22 bado una nafasi ya kupata mtu aliyetulia kuliko huyo aliyeondoka kimya kimya.
 
Wengi we2 2meumiza na kuumizwa, cku nilipogundua kuwa mie co LOOSER ktk mapenzi ktk hari yangu ya kiume, CJAUMIZWA TENA.
 
Tufanye hivi,

Mi nitakutoa upweke wote ulio nao, company ya muda wowote ukitaka, mahali popote pia. Yaani you will never regret to have Shark pembeni yako.

Ila tu ili nsionekane nyoka wa kibisa itabidi consideration iwe nzuri kidogo.

Manake haitakua mimi kukaa karibu na bucha muda wote halafu nsitoke japo na damu.
 
umeanza na match making pia?
hushindwi kitu naona?

ningeshangaa kama the boss ungekaa kimya.
Natumai ushapata pm za kutosha.
Msaidie, anataka rafiki tu. lol...
 

.....kata mti panda mti? Wrong!.... At 22yrs huhitaji kutafuta wa kukuliwaza, ....jijengee/jiweke kwenye mazingira ya KUTAFUTWA!
 
Spinster wa PM hao wakuu hapo juu lkn wasipoweza kukuliwaza usisite unipm japokuwa ratiba yangu ya company kama hizi imejaa nitakupatia hata nusu saa kwa wiki ninaimani utamsahau jamaa na kufikiria mbele!...
 
Last edited by a moderator:

Duh pole sana Spinster usikate tamaa kuna siku utampata wa ukweli, me niko ready kukupa company though am worried we mighty end up changing ur cute name from Spinster to sinister!
 
acha kujidekeza wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…