I need help to control my sexual desires

Read alot, thats all i can say, I am a guy, I had the same thing but I managed to control it, and from your writing we seem like the same age.

Mungu anisamee there was a time i used to have sex with three different girls a day. Ni kipindi kigumu sana nliwah pitia ila niliishinda hiyo vita.. Nakuombea ufanikiwe hiyo kitu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante, nitafanikiwa.
 
Hapana, kuna comments za wadau zimenifikirisha sana ghafla nimejikuta nakosa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Khantwe usijali mtoto mzuri, kila jambo na wakati wake. Muda utafika tu atakuja Mr. Right, kikubwa sana you need to stay positive.

Lakini pia kma naweza shauri - jitahidi upunguze ukali maana mara nyingi huwa unaonekana u mwenye ghadhabu, kama msongo fulani wa mawazo, easily annoyed.
 
Unfortunately Money Penny is in the same situation with her kitoto topics. Kindly assist her
No way.

I sternly warned her against tagging me in her silly threads.

Kila mmoja apambane na Hali yake.

Ninavyohangaika afu nije nibebe ya wengine nitaweza wapi?
 

Kaka humu ndani Kuna watu wanakera ebo!

Ukute hata sio msongo wa mawazo
 
Sijui hata umeelewa nini kwenye post yangu, ulichoelewa hata sicho ninachomaanisha. Mimi nipo hivihivi siku zote, tangu nikiwa mdogo so being mkali as you say has nothing to do with what you are thinking

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No way.

I sternly warned her against tagging me in her silly threads.

Kila mmoja apambane na Hali yake.

Ninavyohangaika afu nije nibebe ya wengine nitaweza wapi?
Nakujua katika huu uzi unatania tu! Bali mwenzenu Money Penny anahitaji msaada maana anajiaibisha pamoja na ukoo wake. Unajua nyani haoni ku.ndule
 
Heeeeeeh! [emoji15][emoji848][emoji855]
Sijui hata umeelewa nini kwenye post yangu, ulichoelewa hata sicho ninachomaanisha. Mimi nipo hivihivi siku zote, tangu nikiwa mdogo so being mkali as you say has nothing to do with what you are thinking

Sent using Jamii Forums mobile app
That's my girl,
Huyo ana lake jambo si bure.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Good morning! I feel what you are going through! Are you married? If not, do you have a boyfriend? When this started, what kind of thoughts were disturbing you? What kind of fantasies are you having........are a fan of pornography? Let us start there.
 
Thank You so much for taking the time to reply to me in such detail.

I will surely take your advice and work towards having this situation in control.

Thank you once again and God Bless you abundantly.
 
Karucee,
Do lots of exercises (physical) create some new hobbies. You may learn something new just to keep you busy. Good luck.
 
-Avoid lonely time or circumstances
-Get rid from sexual related groups and materials like "Whatsup groups" and websites if possible use special software
-Avoid watching people having sex in any way in swahili we call it kupiga chabo
-Engage yourself in agricultural activities with your own hand if you are jobless or you are less or dealt with light activities
-Cut-off sexual networks relationships including having a new mobile number with a new list of contacts
-Pray to Almighty God to help getting rid from those bondages
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…