The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Most definitely ila i hope mafia wa kiitaliano hawako karibia na maeneo ya kwako ikibidi nije na full securityInaelekea una appetite nzuri, sasa huku kunakufaa sana...nitahakikisha umeongeza kilo 5 ndani ya wiki!!..ha ha
Nani amemboa my lovely sisy? Kama ni PakaJimmy mwambe ODM is coming.....of course kwa shari!
Preta, you know where to find me, don't you? Now... keep cool, OK?
Babu loves to see you happy bana! SMILE!
Pole Preta nadhani leo utakuwa OK siku hazilingani mamy
Pole Preta; you can count on us again and again . . .
Mkuu FL1 niaje? Upo?
Dears, Dearests and Super Dears......asanteni sana kwa kunipa moyo.....nashukuru nililala salama na nimekuwa nikismile wakati wote pale ninapotafakari comments zenu...now am happy and kicking......though still bado niko na vichembechembe kidogo lakini sio kama jana.....I hope vitakwisha by leo mchana....
I LOVE YOU ALL MY DEAR FRIENDS....
leo ua feelin gud bila shakaWapenzi leo nzima nilikuwa na siku nzuri sana yenye furaha tele, lakini ilipofika mida ya saa kumi jioni siku imeharibika kabisa, nimekosa raha na najisikia vibaya sana, ikizingatiwa mimi ni mtu wa kuwa na raha wakati wote na huwa siruhusu kabisa moyo wangu kuvunjika, lakini leo hali ni mbaya. Asante sana kwa wewe rafiki uliyenipigia simu kutoka mbali, in such a way umenifariji kwa kiasi fulani.
Wapendwa am feeling bad.
usijali mhandisi.....ni mambo mambo tuu.....tutasemezana
Wapenzi leo nzima nilikuwa na siku nzuri sana yenye furaha tele, lakini ilipofika mida ya saa kumi jioni siku imeharibika kabisa, nimekosa raha na najisikia vibaya sana, ikizingatiwa mimi ni mtu wa kuwa na raha wakati wote na huwa siruhusu kabisa moyo wangu kuvunjika, lakini leo hali ni mbaya. Asante sana kwa wewe rafiki uliyenipigia simu kutoka mbali, in such a way umenifariji kwa kiasi fulani.
Wapendwa am feeling bad.
srry my babie gal,
u knw..we live in the world where there is bumps and thorns
those bumps and thorns are people around us
we cant live without them, and know that they make us strong
but, u know what, there is a new hope as long as u're wit me
I'll kiss away all the pain
come closer babie and let me cool down ur temper and regulate ur heartbeats
I LUV U SWEETIE.....!
pole sana mamie..naamin mambo shwari sasa, usikwazike sana dunia ndivyo ilivyo. ni vijimambo tuu ukakabiliana navyo sawa sawa huwa vinapita kwa kasi ya ajabu:car:
Niko powa sana ..... umefunga kwaresma naona na ww unaonekana kwa msimu ?