I need Tanzania like this.

Kwani baada ya uchaguzi iyo mikataba itavunjwa?

Unahisi kwa si waafrika kinaweza tokea kipaji cha aina hiyo ambacho kitaweza ongoza kwa haki bila kupendelea jamii wala ndugu zake
 
Sasa unafikiri kwa nini nyerere alivijenga viwanda vingi sana na vikafa vyote kwa mara moja
Kwanza si kweli viwanda vilikufa nchi nzima kwa Mara moja.
Pia ujue kila mgombea anakuja vile yeye na Sera zake anazo ziona nisawa.Mfano mzuri Mkapa aliingia na Sera ya ubinafsishaji Mara huyu nguvu mpya
Sasa tunajichanganya wenyewe kwani si kila mtu anaweza kuwa Raisi.

Viwanda vili kufa kwani kila mtu anajua madarakani ni kipindi tuu kifupi napita kwa hiyo hata zikifa haziniusu.Maana ajaye sidhani kama atanirudisha hapa kwenye viwanda.
Ebu ona nadharia kama hizi zina tutafuna wenyewe.

Ila kama kungekuwa na mtu mmoja akavisimamia viwanda kama vyake hakika visinge kufa.
 
Ndo maana nakurudisha palepale maendeleo ya kweli huletwa na taasisi imara sio "one man show" je sisi tukimwacha yeye atawale milele alafu akakutwa na umauti au uzee hatutabadili uongozi na je tunajihakikishiaje mtu tutakaye mpata kama hata ua uchumi alioutengeneza huyo mtawala wa melele
 
Viwanda vilikufa kwasababu hayo hayakuwa maono ya taifa bali maono yake yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…