much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Kwani baada ya uchaguzi iyo mikataba itavunjwa?Sihitaji kumtaja mtawala bali napenda tuwe na kipaji kimoja tukipe kiti.
Afu wengine turudi kupiga kazi
Mwaka huu unaisha hivyo nchi inamikataba kibao mi kubwa kubwa sasa we unategemea uchaguzi ujao kesho kutwa tuu tunaanza kuza gaa barabarani eti tunapiga kura.???
Kana kwamba hatujui kinacho endelea.
Tunaanzisha midahalo kila chaneli watu wamekaa tuu na maji safi kujadili wagombea wakati muda unatuacha.Miaka amsini hii kama hatuoni basi tuna badili gia gari lina songa.
Unahisi kwa si waafrika kinaweza tokea kipaji cha aina hiyo ambacho kitaweza ongoza kwa haki bila kupendelea jamii wala ndugu zake