Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Ni kweli inasemekana una mchanganyiko wa kimasai na kigikuyuMimi namkumbuka kwa namna alivyokuwa anamkaribisha Moi wakati wa sherehe Kitaifa Kenya ..
"Karibu (makofi) Mtukufu Rais....nimesahau maneno yaliyokuwa yanafuata.
Kipindi hicho nasikiliza Kbc ya Fredy Machokaa, Jacob Ayoo Sylivester, Esther Githui, Ronald Mambotela (Je huu ni uungwana) nk.
Kulikuwa na tuhuma kuwa alikuwa Mkikuyu ila tu alikuwa adopted Umasaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Katoto ka 19 years 😆 😆😆Alikuwa mbunge wangu kule kwetu home Kajiado, toka nilipo zaliwa hadi alipoaga dunia. Yeye ndio makamu wa rais ambaye alikalia kiti hicho kwa muda mrefu zaidi ya wote. Mpenda amani. Profesa wa hesabu. Wakenya tutamkumbuka kwa ile kauli yake ya hekima tupu; There comes a time.....when the country is more important than an individual! Baada ya rais mstaafu Daniel Arap Moi kumtema kama mrithi wake, kwenye mida ya lala salama ya utawala wake. Kisha Moi akamchagua kijana ambaye hakuwa anatambulika kisiasa wakati huo, yaani Uhuru Kenyatta. Hapo ni mukhtasari kwa ufupi. R.I.P Profesa.
What do you mean?Katoto ka 19 years
Lol you're furious. Sorry!What do you mean?
C'mon now, furious over what? I just didn't understand your comment.Lol you're furious. Sorry!
For how long was George an MP in your constituency? Since you indicated that he became one before you were born ,I had to conclude that you must be very young.😁C'mon now, furious over what? I just didn't understand your comment.
1988-2012(when he died). When I was born he had already made his mark politically and was the M.P. of my home constituency. I ain't old but am no teenager. Nikii wena mucene muigi ugwo we? Menya ciaku nyamenyamenya. 😎For how long was George an MP in your constituency? Since you indicated that he became one before you were born ,I had to conclude that you must be very young.
Hahaha OK1988-2012(when he died). When I was born he had already made his mark politically and was the M.P. of my home constituency. I ain't old but am no teenager. Nikii wena mucene muigi ugwo we? Menya ciaku nyamenyamenya. 😎
Wewe utakuwa umezaliwa 1990! Hahaaa1988-2012(when he died). When I was born he had already made his mark politically and was the M.P. of my home constituency. I ain't old but am no teenager. Nikii wena mucene muigi ugwo we? Menya ciaku nyamenyamenya. 😎
Asanteni sana Wana JamiiForums kwa kunifumbua macho kuhusiana na Bw G. Saitoti, Nilipenda sana jinsi alivyokuwa akitoa hotuba. Wengine husema huenda angekubalika zaidi kuliko Moi. Watu wengi pia wamebaki na maswali mengi ya kujiuliza juu ya kifo chake.
Hi, Members!
Naomba kuifahamu historia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na nyazifa mbali mbali ktk Taifa la Kenya Mr George Saitoti!
Thanks
Mkuu, Unamaanisha hakufa kifo cha kawaida?Write your reply...mwanasiasa nguli wa kenya ninaye mkubali sana,sema kenya kuna u MAFIOSO sio wa kawaida, George Muthengi Saitoti alimalizwa kama kadudu kadogo