I need to know the history of late leader of Kenya Mr George Saitoti

Alikufa kwa ajali ya ndege ni kifo cha kawaida.
Hakikuwa kifo cha kawaida. 'Postmortem' ya mwili wa mwendazake pamoja na wengine wote ambao waliaga dunia, kwenye ajali hiyo, zilipatikana na chembechembe fulani kwenye mapafu. Ambayo iliashiria kwamba walikuwa 'exposed' kwa gesi flani hatari kwa afya wakiwa huko huko angani kwenye ndege. Jambo ambalo ndio labda lilisababisha ajali hiyo.

Kumbuka kwamba ajali hiyo ilisababisha pia kifo cha naibu waziri wake, Orwa Ojode kwenye wizara ya usalama. Baadae siku hiyo, kabla ya ajali, walikuwa wawasilishe bungeni majina ya watu mashuhuri nchini Kenya. Ambao walikuwa wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya, yaani ma'don'.
 
Kifo chake kinadalili za mchongo?
 
Kifo chake kinadalili za mchongo?
Huyu Mh. Saitoti alinikosha sana katika namna yake ya utendaji. Hakuna kiongozi kwa Taifa la Kenya niliyekuwa nikimkubali sana kama Bw. George Saitoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…