Morgan james
Member
- May 21, 2012
- 28
- 1
Jaman its about me realy kila nikipanga ni do na demu wangu napanga niende goli mbili
but i found nikipiga moja tu nakata hamu kabisa ya kwenda mpigo wa pili so jamani naomben msaada nini nifanye niweze kwenda mipigo miwili.
kama unashiba nyama kilo moja, kwa nini ujilazimishe kumaliza kilo mbili??
Aliyekukaririsha mawili ni lazima nani??
Huyo unayempiga na katusipiki yeye naye anashiba?
Kama hashibi, capitalise kwenye hicho kimoja.
Owa, wacha kufanya zinaa, kuna UKIMWI na magonjwa kibao ya zinaa.
Jaman its about me realy kila nikipanga ni do na demu wangu napanga niende goli mbili but i found nikipiga moja tu nakata hamu kabisa ya kwenda mpigo wa pili so jamani naomben msaada nini nifanye niweze kwenda mipigo miwili.