I need your help wana jf.

I need your help wana jf.

Morgan james

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
28
Reaction score
1
Jaman its about me realy kila nikipanga ni do na demu wangu napanga niende goli mbili but i found nikipiga moja tu nakata hamu kabisa ya kwenda mpigo wa pili so jamani naomben msaada nini nifanye niweze kwenda mipigo miwili.
 
Jaman its about me realy kila nikipanga ni do na demu wangu napanga niende goli mbili
but i found nikipiga moja tu nakata hamu kabisa ya kwenda mpigo wa pili so jamani naomben msaada nini nifanye niweze kwenda mipigo miwili.

Du! msubiri kaka kiiza na Babu Dc wanakuja sasa hivi watakuelekeza nn cha kufanya.
 
kama unashiba nyama kilo moja, kwa nini ujilazimishe kumaliza kilo mbili??

Aliyekukaririsha mawili ni lazima nani??

Huyo unayempiga na katusipiki yeye naye anashiba?

Kama hashibi, capitalise kwenye hicho kimoja.
 
Mwambie demu wako aache uchafu,akiwa msafi Hilo bao la pil likajiset tu
 
kama unashiba nyama kilo moja, kwa nini ujilazimishe kumaliza kilo mbili??

Aliyekukaririsha mawili ni lazima nani??

Huyo unayempiga na katusipiki yeye naye anashiba?

Kama hashibi, capitalise kwenye hicho kimoja.

jibu hili hapa kijana!
 
Owa, wacha kufanya zinaa, kuna UKIMWI na magonjwa kibao ya zinaa.
 
wewe si ndio ulileta ile thread ya kupiga punyeto..? connect the dots..
 
Du kweli vijana hawana tena nguvu, bao moja unakwama la pili pole sana...fanya mazoezi, punguza mawazo ukiwa ktk jambo hilo, acha kula chips, we mwanaume kula ugali ukiweza nyama choma kila siku, hakikisha unakuwa umeshiba, nimeshangaa kweli...moja sijui mbili du basi bwana, ACHENI KULA CHIPS WAACHIENI AKINA DADA,

USHAURI: KAMA UKIWEZA KUOA BORA KUOA KWANI HAPO UTAKUWA NA AMANI
 
Wewe unaonyesha una psychological problem ukisha ji let down ndo utaishia hivyo hivyo, jiamini kama unaweza kupiga magoli mengi ukisha jijengea hayo akilini kwako....utaona mwenyewe mambo yanakuwa super.

Asali+Vitunguu saumu vitakusaidia kufungua mzunguko wa damu ili moyo wako usipate tabu kupump damu.

Ahhhh njiwa atakusaidia pia utajikuta unapaa tu 😛oa
 
dah ujana umezidi jf, maswali mengine hata hayahiaji kuja hapa. huo si ugonjwa angalia mmmejiset vipi, mawazo yenu yapo wapi kwa muda ule utapiga hadi utoe mapovu.
 
Jaman its about me realy kila nikipanga ni do na demu wangu napanga niende goli mbili but i found nikipiga moja tu nakata hamu kabisa ya kwenda mpigo wa pili so jamani naomben msaada nini nifanye niweze kwenda mipigo miwili.

Nenda kakimbie uwanjani round zako zisizopungua 5 au 7 alafu ndani ya siku3 nenda kwenye mechi!
 
Back
Top Bottom