I new member in jamiiforums

I new member in jamiiforums

mborake

Member
Joined
Jun 27, 2013
Posts
44
Reaction score
2
Mimi ni mgeni ktk jamiiforum naomba nafasi moyoni mwako nitue ili tupate kuijenga na kuchagia mawazo mbalimbali hasa upande wa kijamii,kisiasa,na kiuchumi namini tu pamoja ktk uwazi na ukweli
 
sisi huku twaongea kiswahili tu!, karibu sana. mia
 
dah,mkuu si ungetumia tu lugha yetu ya taifa ambayo nina uhakika unaimudu vizuri sana kuliko hyo uliyotumia inayokuonyesha kuwa huimudu vyema
 
Back
Top Bottom