mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 682
Kwanza hakuna iphone s5 duniani..
Pili mnaposema locked mnakua na maaana gani.??
Ikishakuwa locked ataifunguaje?
Kwanza hakuna iphone s5 duniani..
Pili mnaposema locked mnakua na maaana gani.??
Kwa simu ipi mkuu...Chukua 180000, npo mwanza
i phone 5 16gb locked price 250,00otsh . xperia p 16 gb price 350,000tsh zote negotiable.........mawasiliano 0716805201.
mkuu huna xperia z? nataka xperia Z
Chukua 180000, npo mwanza
Iphone 5 kufungua ikiwa locked ni $250 ni mhindi mmoja office zake ziko karibu na chef pride ndiye anayefungua dar nzima..!
Kaka hiyo bei yake huyo jamaa mbona kubwa sana ku unlock?
Kwa sababu najaribu kupiga hesabu za haaraka haraka
250,000 nimenunua + 250$ za kuonlock (412,500 TZS) ni sawa na 662,500/= roughly kwa haraka haraka.

Mkuu hii I phone like new.......ukiwa powa tunaongea biashara pesa inapungua ...kwani nakupa IMEI na version namba yake unaenda kuiunlock...........ndo maana nikasema kuna maongezi .......ya hii I phone........
ni 5 au 5s?