I phone 5 na sony xperia p zinauzwa hapa

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
715
Reaction score
682
i phone
 
Attachments

  • IMG-20140905-WA006.jpg
    96.6 KB · Views: 410
  • IMG-20140905-WA021.jpg
    60.7 KB · Views: 400
  • IMG-20140905-WA022.jpg
    86.9 KB · Views: 380
  • IMG-20140905-WA023.jpg
    90.7 KB · Views: 393
Kwanza hakuna iphone s5 duniani..

Pili mnaposema locked mnakua na maaana gani.??
 
iyo experia inaonekana imetumika sana ila kwa iyo bei pareeef mkuu
 
Kwanza hakuna iphone s5 duniani..

Pili mnaposema locked mnakua na maaana gani.??

LOCKED imefungwa inatumika ktk mtandao mmoja tu na 100% inakuwa mitandao ya nje, na UNLOCKED inatumika mitandao yote...
 
Iphone 5 kufungua ikiwa locked ni $250 ni mhindi mmoja office zake ziko karibu na chef pride ndiye anayefungua dar nzima..!

Kaka hiyo bei yake huyo jamaa mbona kubwa sana ku unlock?
Kwa sababu najaribu kupiga hesabu za haaraka haraka
250,000 nimenunua + 250$ za kuonlock (412,500 TZS) ni sawa na 662,500/= roughly kwa haraka haraka.
 
Hapana sio jamaa yangu ni mtu tu anafanya hyo biashara kuna kipindi nilileta zilizokuwa zimefungwa ndio bei yake kwakuwa nafungua iphone peke yake dar nzima? Kama unajamaa uk nu cheao kidogo kufungua, netwotk zote wanafungua between £40-50, kasoro tmobile peke yake ndio £95 kwa simu moja, kwani iko locked kwa mtandao gani?
 
Kaka hiyo bei yake huyo jamaa mbona kubwa sana ku unlock?
Kwa sababu najaribu kupiga hesabu za haaraka haraka
250,000 nimenunua + 250$ za kuonlock (412,500 TZS) ni sawa na 662,500/= roughly kwa haraka haraka.

Mkuu hii I phone like new.......ukiwa powa tunaongea biashara pesa inapungua ...kwani nakupa IMEI na version namba yake unaenda kuiunlock...........ndo maana nikasema kuna maongezi .......ya hii I phone........
 
ni 5 au 5s?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…