Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Kuna uoga fulani umeanza dunia nzima juu ya ukweli na nguvu ya uislamu kupelekea chuki.Cha kushangaza hakuna ushahidi wa hizo claims labda niku debunk really fast HAKUNA KATIKA HISTORIA IMEWAHI KUTOKEA WAISLAMU WAKAFUKUZA WASIO WAISLAMU KWENYE NCHI ZAO NINAVYOONA NI KINYUME CHAKE na sharia law huwa inawahusu waislamu pekee sijajua msio waislamu inawauma nini.
Mfano hapa JF wengi wanaouchukia uislam/waislam ukiwauliza hasa walichofanywa hawatokupa jibu la maana.
Chuki zao zimepandizwa na propaganda za kudhoofisha uislam baada ya kuona unazidi kukua.
Ukitaka kujua ni mission maalum, angalia nyuzi za kudhihaki na kuchafua uislam zilivyojaa humu lakini hazifutwi.
Cha ajabu zaidi wanaochukia uislam wanaishi na waislam baadhi wameajiriwa na waislam, wana mahusiano na waislam lakini huku wana chuki ambazo hata wao wenyewe hawajui chanzo chake.