I=PRT/100 inatumikaje katika kukokotoa mkopo wa mfanyakazi

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
931
Reaction score
612
Habari ndugu wanajukwaa,hivi Benki wanatumia formula gani ktk ukopesdaji kwa watumishi?maana kila nikitumia ile formula ya I=PRT/100 mahesabu yanakuja tofauti
 
Mkuu
principles are the same with little modification. The rules ni zile zile ila kuna vitu vinaitwa present value.
In short kwenye hiyo formula yako ongeza time factor then mind you wanatumia ile concept ya faida huzaa. Yaani compounding as opposed to hiyo ambayo ni simple interest
 
Mkuu hapo bado nipo kizani,hiyo time factor ndio inakuaje,fafanua kidogo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…