Habari ndugu wanajukwaa,hivi Benki wanatumia formula gani ktk ukopesdaji kwa watumishi?maana kila nikitumia ile formula ya I=PRT/100 mahesabu yanakuja tofauti
Mkuu
principles are the same with little modification. The rules ni zile zile ila kuna vitu vinaitwa present value.
In short kwenye hiyo formula yako ongeza time factor then mind you wanatumia ile concept ya faida huzaa. Yaani compounding as opposed to hiyo ambayo ni simple interest
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.