Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Mambo mengi dear mnoo halafu hamna zile amsha amsha kama kipindi kilee
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengi dear mnoo halafu hamna zile amsha amsha kama kipindi kilee
Asante 😍😍
Uko powa lakini?
Mie salama,vipi weewe?
Mimi Niko Tayari Kuupokea Mwaka Mpya, with energy and dreams.
Plus you on my side
Yaaaaas!
Moja ya kipindi kizuri kwangu ni msimu wa sikukuu hizi za xmas na mwaka mpya....huwa nafeel at peace labda ni vile tunamaliza mwaka so kiimani naona kama natua mizigo/matatizo yote ya mwaka na kuanza upya
Mungu atujaalie tuumalize salama na kuuanza vyema
Mimi pia, especially mwaka huu, I have a lot to say Thank You To God.
A lot.
Same
Tuzidi kumshukuru Mwenyezi Mungu
Hahahaha, na Mimi nimekumiss kweli kweli JF sweetheart wangu
Rayna fanya umuendee hewani mwana, amekuelewa ujuwe!!Why nisikujibu jamani?!!u did nothing wrong to me so please relax kama ulituma ujumbe PM Mimi hua nachelewa au sijibu kabisa PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa jamaniRayna fanya umuendee hewani mwana, amekuelewa ujuwe!!
NambieHahahaha, na Mimi nimekumiss kweli kweli JF sweetheart wangu
MTC | 101| [emoji769]
Uko poa ,unapotea sana, nani kakuficha? Hahahaha
Yangu ilikuwa offline kwa miaka miwili mfululizo na nilikuwa mzima kabisa, sema nilisahau password 😁😁Ukiona ID ya mtu haiko active zaidi ya miezi sita,jua labda; hataki mawasiliano na mitandao,chombo/kifaa alichokuwa anatumia hakifanyi kazi,yuko mahututi,anatumia ID nyingine baada ya ID ya kwanza kutenda madhambi,au ametangulia mbele za haki.
Hakuna hata wa kunificha mjini hapaUko poa ,unapotea sana, nani kakuficha? Hahahaha
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha
Hahahaha, hivi Upo
Kiongozi una sweetheart wangap hapa jf unigawieHahahaha, na Mimi nimekumiss kweli kweli JF sweetheart wangu
MTC | 101| [emoji769]