I regret to come to The USA

Jipe pole mwenyewe maana utaishia kokosawa wengine huku sisi wenye English ya kuunguga na kiswahili kibove tembea Dunia nzima in business class.
Ukiwa kwenye business class,usiwe unaongea kiingereza,uwe unakaa kimya.Halafu kumbe Kiswahili unajuajua kidogo,tuhadithie kwa Kiswahili sasa,mkuu wa Amerika ya kaskazini.
 
*i — I
*straggle — struggle
*spear — spare
*youself — yourself
 
Sasa nyinyi nasema sijui kizungu ila kizungu chagu kibove kina nifikisha sahemu yoyote Dunia nyinyi na kizungu chenu kizuri hata Nairobi hamjafika
Ni kweli....usitusikilize bro
 
shida ya wahaya bwana, kwani ungeandika kwa kutumia Kiswahili ungepata shida gani. Kiingereza chenyewe pamoja na kukaa Marekani hukijui
 
💩
 
Sahihi kabisaa, Joseph aendelee na story hii..
 
Kuna group letu la tuliomaliza form 4 miaka hiyo, kuna baadhi ya watu kuandika kiswahili ni changamoto sana.

Hata hapa jf wengi lugha ni tatizo.
Sasa kwanini mnamshangaa jamaa??

Watu mna wivu wa kijinga sana, huenda jamaa kusema kaishi US basi watu roho zimewauma wameanza kumpopoa bila sababu za msingi.

Kuishi US hakukufanyi ujue kuandika kingereza, kama ilivyo kuishi Tz hakukufanyi ujue kuandika kiswahili.
 
Hauna tofauti na MAFARISAYO WA ZAMANI wale WALIO MTESA YESU KRISTO WA NAZARETH....

Wewe mwenyewe hujafuata taratibu za uandishKIZUNGU CHAKO HAKIJA NYOOKA KINA MATEGE MATEGE.....

Watu kama nyinyi hata malaika atokee afanye hamuishi kukosoa MMEJA U HATERS NA U SNITCH mwingi vichwani mwenu.....
 
Mmejaaa uhaters na usbitch ndio nini ? Arudi nyumbani all those years hajui kunyoosha marlezo kwa kingereza alichochagua yeye mwenyewe kuwasilisha maada yake iwe lawama yangu tena, get your shit together man, dont be offended if you dont know English man, ni lugha tu kama kinyakyusa..Get a life homie..
 
We muhaya andika kiswahili umenichosha siwezi nikaendelea na part 2
 
Umejuaje kuwa hajui kuandika English ikiwa wewe umesoma hapa Tz na na kufundishwa na waswahili wenzio ?
 
Jipe pole mwenyewe maana utaishia kokosawa wengine huku sisi wenye English ya kuunguga na kiswahili kibove tembea Dunia nzima in business class.
Hio business class labda ya mtumbwi au mkokoteni, wewe hata luxury bus hujawai panda nakwambia, miaka 20 US ng'eng'e mbovu hivo, upande business class uje kulia lia hapa.
 
Daaah! mkuu,umenichekesha sana,hii saa 2:30 usiku.Nimecheka kwa sauti... daah! we inaonyesha ni comedian mzuri sana,anyway.... umemshauri vema.
Arud nyumbani mbona ugali maarage ni mtamu tu huku mzee yan, nyumbani ni nyumbani tu.
 
Alafu itu kingine we kingereza hujui kama ambavyo mimi sijui kimakonde, sa utajuaje kama kakosea ? Hata kiswahili kinakupiga chenga kidogo mkuu. Ni bora mtu anaekwambia ukweli kuliko yule anae ku marinate na uwongo uwongo. Bora ukweli mchungu kuliko uwongo mtamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…