Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Punguzeni ujuaji mkuu pamoja kingereza Cha msimuliaji hakika nyooka Wala kuzingatia TARATIBU ZA UANDISHI lakini story inaeleweka....Alafu itu kingine we kingereza hujui kama ambavyo mimi sijui kimakonde, sa utajuaje kama kakosea ? Hata kiswahili kinakupiga chenga kidogo mkuu. Ni bora mtu anaekwambia ukweli kuliko yule anae ku marinate na uwongo uwongo. Bora ukweli mchungu kuliko uwongo mtamu.
Kuna kuielewa lugha Kwa aina tatu
1. KUONGEA (kuizungumza)
2.KUISOMA (kusoma maandishi)
3.KUIANDIKA (kuiandika maandishi)
So msijifanye mnajua sanaaa
Professor Ndalichako mwenyewe wadau wanamkosoa kua hajui kizungumza kingereza kizuri (professor)
Hayati JPM nae alikosolewa sana hajui kukiongea kingereza vizuri mpaka aka achana nacho (broken English)
Ni bora kufanya constructive criticism kuliko kumpopoa mtu as if wewe unaweza kufanya anacho fanya...