I regret to come to The USA

Samahani mkuu, Ulialikwa kwa ajili ya Graduation na ukaruhusiwa kukaa mwaka mzima.
 
20 years in the U.S. and you can't even use proper grammar and punctuation.

Subiri nimalizie kusoma halafu nitakuja na comment ya ulichoandika.
Mkuu hata Floyd amezaliwa marekani na hajui kuandika kingereza na kusoma na nina washikaji kibao Chicago downtown wamezaliwa marekani ila hawajui kuandika kwa usahii kingereza.Mm mwenyewe naongea kingereza ila sijui kuandika.
Kuandika ni taaluma mzee.
 
20 years in the U.S. and you can't even use proper grammar and punctuation.

Subiri nimalizie kusoma halafu nitakuja na comment ya ulichoandika.
Mkuu hata Floyd amezaliwa marekani na hajui kuandika kingereza na kusoma na nina washikaji kibao Chicago downtown wamezaliwa marekani ila hawajui kuandika kwa usahii kingereza.Mm mwenyewe naongea kingereza
Ila sijui kuandika.
Sababu kuandika ni taaluma mzee.
 
Alafu kuhusu dini mimi ni mkristo ila sasa labda nikwambie Alipotoka yesu wakristo ni wachache sana, for you information hadi leo wayahudi hawajawah kumkubali yesu na sio wakristo, i have a jew friend and I have been to Haifa ambayo ni kama 40km to Nazareth, wewe umesimuliwa unajifanya wayahudi unawajua..Hapa hatuongelei mafarisayo ambao ni wayahudi hawa wanaomtwanga mpalestina wala hatuongelei Nazareth, cha msingi jamaa arudi home ajipange upya atarud tu ulaya akiwa vizuri kwani kuna tatizo gani ? Hakuna muda wa ku marinate vitu ambavyo vina solutions za moja kwa moja, come back home huku ugali maarage ni shuabet…
 
shida ya wahaya bwana, kwani ungeandika kwa kutumia Kiswahili ungepata shida gani. Kiingereza chenyewe pamoja na kukaa Marekani hukijui
Wewe hutofautishe wahang'anza na wahaya, huyu ni Mrundi wa Tanzania kutoka Ngara sio mhaya, au hujasoma stori yake yote.
 
Umejuaje kuwa hajui kuandika English ikiwa wewe umesoma hapa Tz na na kufundishwa na waswahili wenzio ?
Mkuu kwani unateseka ukiwa wapiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Oyaa hapo Ngara kuna sehemu inaitwa Kumnazi tulikuwa tunakunywa rubisi...kwa sasa kuna Hospital ya Lukole..upurikee bee...urakozie
 
Well said mkuu, jamaa ananiatak mimi kwa kumwambia jamaa anaandika broken sa me nimekosa nini ? Mbona wengi wameona makosa ya jamaa ? Ila nilipomshauri jamaa arudi home atapata ugali maharaage mtamu na huku anaweza akawa chawa hajaona, au nasema uwongo bwana Nelson ?…
 
Unadandia train πŸš† iliyo chongoka Kwa mbele utazalishwa mapachaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Sawa mkuu wacha hao mapacha waje ila ukweli ni ukweli tu, jamaa arudi home ajipange, na hiyo lugha anaandika ni KIPENGELE. Anyways tugawane majukumu wewe uwe una marinate mimi namwambia ukweli sawa ?
 
Mkuu ebu endelea na story achana na hao! Asilimia kubwa ya wanaoongea ushenz/ hawajaelewa hata hiyo broken

Mimi naomba uandike kwa kiswahili sio sababu haujui english hapana! Ila ni kwasababu ukiandika english utaniacha kidogo, na mimi nataka nipate ujumbe wote unaodhamiria kuufikisha.
 
Upo sahii,,,tunachotakiwa kufanya ni kumshauri jamaa arudi nyumbani.
NB: Kuhusu lugha ya kingereza katika uandishi,hata raia wa uingereza wapo wengi tu hawajui kuandika kingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…