I regret to come to The USA

Punguzeni ujuaji mkuu pamoja kingereza Cha msimuliaji hakika nyooka Wala kuzingatia TARATIBU ZA UANDISHI lakini story inaeleweka....

Kuna kuielewa lugha Kwa aina tatu
1. KUONGEA (kuizungumza)
2.KUISOMA (kusoma maandishi)
3.KUIANDIKA (kuiandika maandishi)

So msijifanye mnajua sanaaa
Professor Ndalichako mwenyewe wadau wanamkosoa kua hajui kizungumza kingereza kizuri (professor)
Hayati JPM nae alikosolewa sana hajui kukiongea kingereza vizuri mpaka aka achana nacho (broken English)
Ni bora kufanya constructive criticism kuliko kumpopoa mtu as if wewe unaweza kufanya anacho fanya...
 
Walewale, sasa unamrekebisha nini hapo ikiwa we mwenyewe unahitaji kurekebishwa!
 
Msema ukweli mpenz wa mungu, jamaa afikishe ujumbe ila uje kwa kiswahili manake ile lugha kanichanganya hata mimi naona English ni shida kwake kidogo, huwez jua inaweza kuwa mwenyezi Mungu katuletea Lemutuz ze supa Nyeyenye Mobimba Ye kwa staili nyingine atusimulie story yake ya My American experience sababu sikumbuki kama aliimalizia before he was gone for ever
 
Kwanini ulianza kwa kumsema? amani inatafutwa kwa gharama kubwa Sio sawa kua chanzo cha kumkera mtu,

Na utu uzima wako huo miaka yote uliyokaa Tz je unajua kiswahili sawasawa?
 
Mkuu unaona nisingemwambia jamaa nisingepata kitu kutoka kwako, now you are talking, CONSTRUCTIVE CRITICISM kama ulivyosema I want him to fix whatever he is trying to deliver in a good way sasa kama hii sio constructive basi ni kitu gani ? Mimi kwenye maisha yangu huwa sijali mtu anani criticize kiasi gani , huwa naangalia tu kama naweza kupata kitu positive out of the critics na i go with the positive stufs only.

Anyways, as much as i want this story to develop more and more, this dude needs to improve his writing skills, awe anaandika kwa kiswahili au kingereza improving writing skills kutaongeza attention ya watu na ujumbe utafikia watu wengi na wengi watajifunza. Now tell me, why am i a bad guy for saying this ? I thought it was going to develop into a good thing.
 
Kwanini ulianza kwa kumsema? amani inatafutwa kwa gharama kubwa Sio sawa kua chanzo cha kumkera mtu,

Na utu uzima wako huo miaka yote uliyokaa Tz je unajua kiswahili sawasawa?
Hapana mkuu sijui kiswahili sawa sawa na hiyo sion kama ni offense kwangu, nipo tayari kujifunza zaidi. Kwanini ninyi mnaogopa critics ?
 
Aisee nimechoka, tunaomba muendelezo Kwa lugha ya kiswahili
 
Hapana mkuu sijui kiswahili sawa sawa na hiyo sion kama ni offense kwangu, nipo tayari kujifunza zaidi. Kwanini ninyi mnaogopa critics ?
Critics ya nini kwani yeye amesema ni mzungu, ni jambo la kuelewa tu.

Ujuaji ni mwingi ndo mana umaskini wa akili ni mkubwa.
 
Critics ya nini kwani yeye amesema ni mzungu, ni jambo la kuelewa tu.

Ujuaji ni mwingi ndo mana umaskini wa akili ni mkubwa.
Kwahiyo nifanyaje mkuu? nishauri. Japokuwa 90% ya watu wamem criticize na naona comments za watu wapya wote wakisema kuna namna kaiandika hiyo lugha kwa namna isiyoeleweka, huoni kama ujumbe unaweza usifike kwa namna iliyodhamiriwa ?
 
Kwahiyo nifanyaje mkuu? nishauri. Japokuwa 90% ya watu wamem criticize na naona comments za watu wapya wote wakisema kuna namna kaiandika hiyo lugha kwa namna isiyoeleweka, huoni kama ujumbe unaweza usifike kwa namna iliyodhamiriwa ?
Sisi wote ni watu wazima kila mtu afanye anavyoona.
Ingekua mleta mada ndo kaomba ushauri ningemwambia Aandike namna yeye anaona inampendeza iwe kiswahili au english.

Anayetaka atasoma asiyetaka aende kusoma kwingine.
 
Nimeshangaa sana. Mbona watu wanaishi nchi hii zaidi ya miaka 40 na Bado hawajui kuandika kiswahili? Bado hatujaelimika kabisa!
 

Without forgetting
He can be Juma Lokole or James Delicious
 
Huu Sasa umekua Uzi wa kujifunza lugha???!!!
Kila mmoja anamkosoa mleta mada
Duh,Tz wajuaji wengi
 
Sasa nyinyi nasema sijui kizungu ila kizungu chagu kibove kina nifikisha sahemu yoyote Dunia nyinyi na kizungu chenu kizuri hata Nairobi hamjafika
Really enjoyed seeing your genuine reaction to all of the little things and you're right, I was the same way when I visited Europe for the first time in 1996 when I was 5 years of age. I was amused by how tiny everything was hahaha.. 😂😂😂
 
Ngozi nyeusi wengi ni wapumbavu sana hasa watanzania,labda jamaa angeandika kichina ndo wangetulia,niwajuaji juaji sana,badala ya kufatilia ujumbe alio kusudia mwandishi wanaanza kuleta mambo ya grama,kwani amesema anataka kufundisha kiingereza??

Mbona jamaa anatumia kiingereza chepesi na kizuri tu kila mmoja kusoma na kuelewa

Tuna mana mambo mengi yanatushinda kwa sababu za kijuaji na ufiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…