mbona mi simjui huyo Le Mutuz
Pole yako!!!!!!!!!
best hivi ile harusi ilipita?Hata mie namkubali sana le mutuz. He has the courage to speak his mind no matter what. That shouldnt be under estimated. Kwa jinsi anavyonyanyuliwa juu juu humu, it takes a special talent to keep going. Alivyomnunia maxence enzi zile nilimkosa sana.
best hivi ile harusi ilipita?
eti ni mtoto wa pembeni....
Mi nilidhani umenitosa best ukatafuta partner wa mujini, kumbe hata wewe unajishangalia?ahahaha, best mi staki uchokozi bwana. Ile harusi sijui kama ilipitia wapi manake naona na nguo niliyoshonesha ilishaniruka saa hizi. sijaona hata picha!
Wapi Le Mutuzzzzzzzzzzzzzzzzz..............Popote ulipo tuwasiliane tafadhali.......nakukubali sana na nayakubali sana mapambano yako japo watu wanajifanya kukuponda ila deep inside wanatamani kua kama wewe na wanaitamani sana nafasi yako.........Hongera sana kwa kuweza kucntrol ur tempor especially to Mburulaz,,!!!!!!!!!!!!!
Pamoja Sana Fighter wangu........LE MUTUZ
mkuu wa wilaya vipi?chapa mbowe vibao na wewe upate mkuu- Salute Boss U know
le Mutuz