I salute u WILLIAM MALECELA,,LE MUTUZ,,Much Respect,,!!!!!!!!!!

I salute u WILLIAM MALECELA,,LE MUTUZ,,Much Respect,,!!!!!!!!!!

We acha kudanganyika na maigizo ya JF hapa...
 
Hata mie namkubali sana le mutuz. He has the courage to speak his mind no matter what. That shouldnt be under estimated. Kwa jinsi anavyonyanyuliwa juu juu humu, it takes a special talent to keep going. Alivyomnunia maxence enzi zile nilimkosa sana.
best hivi ile harusi ilipita?
 
ahahaha, best mi staki uchokozi bwana. Ile harusi sijui kama ilipitia wapi manake naona na nguo niliyoshonesha ilishaniruka saa hizi. sijaona hata picha!
Mi nilidhani umenitosa best ukatafuta partner wa mujini, kumbe hata wewe unajishangalia?
Labda mabilionea walikuwa kwa bunge la katiba, tuvute subra
 
Wapi Le Mutuzzzzzzzzzzzzzzzzz..............Popote ulipo tuwasiliane tafadhali.......nakukubali sana na nayakubali sana mapambano yako japo watu wanajifanya kukuponda ila deep inside wanatamani kua kama wewe na wanaitamani sana nafasi yako.........Hongera sana kwa kuweza kucntrol ur tempor especially to Mburulaz,,!!!!!!!!!!!!!

Pamoja Sana Fighter wangu........LE MUTUZ

- Salute Boss U know

le Mutuz
 
Ila huyu mzee naye ana msaada wake. Nakumbuka jinsi Fredy wa Instagram Party alivomtumia kutangaza events zake.
 
Back
Top Bottom