Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isitoshe Bashir anelewana na Kiir sasa mafuta na cargo vinapita port Sudan. Roho ya uchoyo ya Wakenya inawaponza. Baada ya kukataa kujiunga na bomba la mafuta la Uganda, majuzi Uhuru alijipambanua huko Maputo kupitisha mizigo ya SADC Beira! Sijui mpango umeishia wapi ?😅☝Kama umenielewa nimesema kwamba hili sio jambo la kupuuza kwasababu biashara ya Kenya na Uganda ni muhimu sana kwa uchumi wa Kenya.
Kuhusu cargo ya South Sudan yote inatumia infrastructure ya Uganda, kutoka Mombasa through Uganda to Juba, kama ulivyosoma hapo juu, WFP wameanza kutumia Central corridor kupeleka food aid kwenda SS na DRC, hii maana yake ni kwamba kama waganda watatumia Central corridor, hata South Sidan pia watatumia, kumbuka cargo kubwa iliyokua inakwenda South Sudan kwa kupitia mombasa ni food and other humanitarian aid under UN, sio cargo ya serikali ya South Sudan, huwezi linganisha uchumi wa Rwanda na South Sudan, Rwanda is far ahead.
Sent using Jamii Forums mobile app
But new ships r being built one by Tanzania n another by Uganda! Affordability of the route is a determinant n with time u will start seeing a serious effect esp. when SGR gets to Mwanza. And not all containers r destined to Kampala. Others go to Western Uganda n Uganda's neighbouring countries of Rwanda n Burundi.unless you purchase like 20 new ships that route cant make any sense for serious business.. only small time traders can benefit from that transport.... 6, 800 tonss is 340 containers in 6 weeks... The ship can only carry 44 wagons a day!!!
3, 800-4, 500 containers cross the malaba borader everyday
😂😂😂 nyi hata kumaliza ujenzi wa hio reli will not happen. No donor is willing to sink money into that white elephant projectWe will make suse u fail to pay the Chinese loan!
Aa wapi... L.Victoria rout is irrelevant as long as there are no meaningful acquisition of multiple new ships....Kama umenielewa nimesema kwamba hili sio jambo la kupuuza kwasababu biashara ya Kenya na Uganda ni muhimu sana kwa uchumi wa Kenya.
Kuhusu cargo ya South Sudan yote inatumia infrastructure ya Uganda, kutoka Mombasa through Uganda to Juba, kama ulivyosoma hapo juu, WFP wameanza kutumia Central corridor kupeleka food aid kwenda SS na DRC, hii maana yake ni kwamba kama waganda watatumia Central corridor, hata South Sidan pia watatumia, kumbuka cargo kubwa iliyokua inakwenda South Sudan kwa kupitia mombasa ni food and other humanitarian aid under UN, sio cargo ya serikali ya South Sudan, huwezi linganisha uchumi wa Rwanda na South Sudan, Rwanda is far ahead.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya and South Sudan I suppose!Aa wapi... L.Victoria rout is irrelevant as long as there are no meaningful acquisition of multiple new ships....
kuhusu food aid, Google Lokichogio international airport. .. hio ndo base ya UN WFP.... Kenya is Africas highest contributer to UN resources. .. most of it being food to Somalia and S.Sudan valued more than $400m.the Lokichogio airport is where UN food Aid not only for South Sudan but also for Somalia, Drc, Sudan is broken down then transported to the respective countries.
South Sudan imports go through Uganda because there is no tarmark road cinnecting Kenya and Uganda... but that will change soon Eldoret-Nadapal-Juba Highway | $1 billion | U/C - Page 3 - SkyscraperCity
Construction of Tshs 50b new ship on Lake Victoria starts next year, South Korean firm wins tenderAa wapi... L.Victoria rout is irrelevant as long as there are no meaningful acquisition of multiple new ships....
kuhusu food aid, Google Lokichogio international airport. .. hio ndo base ya UN WFP.... Kenya is Africas highest contributer to UN resources. .. most of it being food to Somalia and S.Sudan valued more than $400m.the Lokichogio airport is where UN food Aid not only for South Sudan but also for Somalia, Drc, Sudan is broken down then transported to the respective countries.
South Sudan imports go through Uganda because there is no tarmark road cinnecting Kenya and Uganda... but that will change soon Eldoret-Nadapal-Juba Highway | $1 billion | U/C - Page 3 - SkyscraperCity
Spmetimes nikisoma post zako huwa ninakuhurumia sana, you are very much desperate hadi upo frustrated.Aa wapi... L.Victoria rout is irrelevant as long as there are no meaningful acquisition of multiple new ships....
kuhusu food aid, Google Lokichogio international airport. .. hio ndo base ya UN WFP.... Kenya is Africas highest contributer to UN resources. .. most of it being food to Somalia and S.Sudan valued more than $400m.the Lokichogio airport is where UN food Aid not only for South Sudan but also for Somalia, Drc, Sudan is broken down then transported to the respective countries.
South Sudan imports go through Uganda because there is no tarmark road cinnecting Kenya and Uganda... but that will change soon Eldoret-Nadapal-Juba Highway | $1 billion | U/C - Page 3 - SkyscraperCity
I didn't know there's no tarmac road to Uganda from Kenya 🤔 you are way poor and low how could you failed to have it to the customer who is making your port alive?Aa wapi... L.Victoria rout is irrelevant as long as there are no meaningful acquisition of multiple new ships....
kuhusu food aid, Google Lokichogio international airport. .. hio ndo base ya UN WFP.... Kenya is Africas highest contributer to UN resources. .. most of it being food to Somalia and S.Sudan valued more than $400m.the Lokichogio airport is where UN food Aid not only for South Sudan but also for Somalia, Drc, Sudan is broken down then transported to the respective countries.
South Sudan imports go through Uganda because there is no tarmark road cinnecting Kenya and Uganda... but that will change soon Eldoret-Nadapal-Juba Highway | $1 billion | U/C - Page 3 - SkyscraperCity
Ungekua ulichukua huo muda wa ku reply ku uligoogle Lokichio badala ya kujaribu ku undermine the messenger ungekua ulificha aibu ndogo ndogo... Unafikiri wakati wa vita ambapo kila mtu ako desparate chakula husafirishwa kupitia barabara ?Spmetimes nikisoma post zako huwa ninakuhurumia sana, you are very much desperate hadi upo frustrated.
Hivi utasemaje Kenya ndio ndio provider wa chakula cha msaada kwenda kwenye nchi zenye mizozo wakati Kenya yenyewe inasaidiwa chakula?.Unasema hiyo airport ndiyo base ya WFP, wewe nitajie ni wapi diniani ambako chakula kingi kinasafirishwa by air?, Kweli kabisa WFP inaweza kusafirisha 50,000tonnes za vyakula by air?.
Sasa unabisha kitu gani wakati WFP tayari wameshaanza kupitisha 1000 tonnes na wamesema ni much cheaper and faster na kiahidi kuendelea kutumia central corridor na pia kuwashawishi others.
Sent using Jamii Forums mobile app
Good for perssenger transport... but not cargo operations... 400 tonnes is the equivalent of 20 containers! I dont even think its meant to carry that type of cargo... its probably just for carrying peoples cars since this will esecially be a ferry ... its not meant to carry goods from the port on regular basisConstruction of Tshs 50b new ship on Lake Victoria starts next year, South Korean firm wins tender
John Mbalamwezi | 30 Oct 2017, 11:34 am
![]()
The new ship, valued at Tshs 50billion would have the capacity to carry 1,200 passengers and 400 tons of cargo.
President Magufuli has affirmed the Lake zone dwellers that starting January next year, the South Korean firm will start the construction of ship on Lake Victoria.
The new ship, valued at Tshs 50billion would have the capacity to carry 1,200 passengers and 400 tons of cargo.
“The money for construction activities is there they will sign the contract later this year and construction activities might start in January next year, “he said in Mwanza today during official launching of the pedestrian bridge at Furahisha area.
According to President Magufuli, already the South Korean officials are in the region to see area of construction.
He further said that the government will repair Mv Victoria which ply on the Lake Victoria and Liemba which operates on Lake Tanganyika.
“We want to have improved transport industry in Tanzania in the near future, so people can make decision of their own type,” he said.
Construction of Tshs 50b new ship on Lake Victoria starts next year, South Korean firm wins tender | Azam | News | English
At the moment, there are two wagons carriers in operation and two more are in the process to be revived. Worry not my friend JPM can build those carriers. As a matter of fact at $24 mln u can get at least 3 wagon carriers revamped.Good for perssenger transport... but not cargo operations... 400 tonnes is the equivalent of 20 containers! I dont even think its meant to carry that type of cargo... its probably just for carrying peoples cars since this will esecially be a ferry ... its not meant to carry goods from the port on regular basis
Acha maneno mengi wewe, air lifting and droping of humanitarian aid inatokea tu wakati ambapo watu wametawanyika misituni wamejificha hawapo katika kambi na sio rahisi kuwafikia huko porini walikojifi cha, huwa ndege zinapita kudodondosha vyakula maalimu ambavyo havihitaji sana matayarisho kwani hawa watu hata vyombo vya kupikia mara nyingi hawana, hili ni zoezi la muda mfupi wakati juhudi Zach kuwakusanya katika camps zinafanyika ili wafikiwe misaada kwa barabara, hii hufanyika dunia nzima, husikii ktk vita wanatoa muda wa kusimamisha mapigano ili kuruhusu misafara ya malori ya misaada?.Ungekua ulichukua huo muda wa ku reply ku uligoogle Lokichio badala ya kujaribu ku undermine the messenger ungekua ulificha aibu ndogo ndogo... Unafikiri wakati wa vita ambapo kila mtu ako desparate chakula husafirishwa kupitia barabara ?
On a clear, hot, and arid day, I flew from Kenya into Sudan during Operation Lifeline Sudan, a cross-border relief operation at the crosshairs of a civil war. The conflict between the Sudanese government and the South Sudanese People’s Liberation Movement (SPLM) was 18 years old, driving a long-standing need for food assistance to help those caught in the crossfire.
The scene from my takeoff spot in Lokichogio, Kenya was remarkable. WFP airlift operations were underway to feed hungry families as massive Antonov and C130 cargo airplanes departed the airport at dawn to transport life-saving supplies. The United Nations was negotiating with the government and the SPLM to ensure the safety of its planes that were flying to some of the country’s most remote areas.
ingia hapa usome na uangalie picha kabla haujafungua domo ...
Kisha ukimaliza uingie hapa uangalie ni nchi gani ziko top 10 kwa kuuzia bidhaa UN.... sometimes ukiona tunaagizia mahindi kutoka kwenu usifikirie ni yetu... tunanunua huko kwenu at cheap price alafu Tunauzia UN at double the price...
The UN spent over $17bn in 2015 – which countries are its biggest suppliers?
Kumbuka kuna Refujeez wa Kutoka Congo ambao wako Uganda, Kwahivyo ukiskia WFP usifikiri ni chakula cha S.SudanKama umenielewa nimesema kwamba hili sio jambo la kupuuza kwasababu biashara ya Kenya na Uganda ni muhimu sana kwa uchumi wa Kenya.
Kuhusu cargo ya South Sudan yote inatumia infrastructure ya Uganda, kutoka Mombasa through Uganda to Juba, kama ulivyosoma hapo juu, WFP wameanza kutumia Central corridor kupeleka food aid kwenda SS na DRC, hii maana yake ni kwamba kama waganda watatumia Central corridor, hata South Sidan pia watatumia, kumbuka cargo kubwa iliyokua inakwenda South Sudan kwa kupitia mombasa ni food and other humanitarian aid under UN, sio cargo ya serikali ya South Sudan, huwezi linganisha uchumi wa Rwanda na South Sudan, Rwanda is far ahead.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujifanya kujua kwingi kutakuabisha pole pole tuAcha maneno mengi wewe, air lifting and droping of humanitarian aid inatokea tu wakati ambapo watu wametawanyika misituni wamejificha hawapo katika kambi na sio rahisi kuwafikia huko porini walikojifi cha, huwa ndege zinapita kudodondosha vyakula maalimu ambavyo havihitaji sana matayarisho kwani hawa watu hata vyombo vya kupikia mara nyingi hawana, hili ni zoezi la muda mfupi wakati juhudi Zach kuwakusanya katika camps zinafanyika ili wafikiwe misaada kwa barabara, hii hufanyika dunia nzima, husikii ktk vita wanatoa muda wa kusimamisha mapigano ili kuruhusu misafara ya malori ya misaada?.
Acha kujiaibisha Kwa kuzungumza vitu usivyovijua, WFP inanunua yenyewe chakula kutoka nchi mbalimbali duniani na kukisafirisha, principle wanayotumia ni kwamba hawawezi kununua kutoka ktk nchi ambayo inaupungufu wa chakula, Kwa kufanya hivyo ni sawa na kuongeza tatizo lenyewe. Kenya mara zote mna upungufu wa chakula na mnanunua toka TZ, kwanini WFP wasinunue direct kutoka Tanzania badala yake wanunue Kenya wakati wanajua hao wakenya wanakitoa Tanzania?. Don't be desperate brother face the reality.
Sent using Jamii Forums mobile app
JPM is heeding ur grievances another ship this time a cargo ferry!Good for perssenger transport... but not cargo operations... 400 tonnes is the equivalent of 20 containers! I dont even think its meant to carry that type of cargo... its probably just for carrying peoples cars since this will esecially be a ferry ... its not meant to carry goods from the port on regular basis