I see nimegundua ka kitu

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,018
Reaction score
1,151
Huwa nalipa kika mwezi Dstv compact + shida yangu ni football ⚽. Mwezi huu nimegoma kabisa maana tulianza na 75 elf na sasa inakaribia laki moja
Then nikapata wazo LIVE STREAMING nimeangalia live Chelsea vs West Ham na sasa naangalia live Man U vs Newcastle United. Bundle ya unlimited speed ya siku kwa sh 1000 tena kwenye big screen nimeungaisha na HDMI from my computer kitu kina flow no kukwama kwama
 

unatumia bundle gani hiyo unlimited kwa tsh 1000 na speed nzur namna hiyo
 
Tigo unlimited speed
 

Attachments

  • 1419608643108.jpg
    23.1 KB · Views: 422
  • 1419608660583.jpg
    20.9 KB · Views: 379
Nimekusoma kiongozi.Asante kwa kutujuza....
 

Naomba hiyo link ushushe hapa pia..
 
Hii link itapoteza mapato makubwa ya DStv, wakuu nawaomba hii link mui-save somewhwere huenda hii link isionekane tena hapa jamvini baada ya Multichoice kugundua sabotage kubwa kama hii.

Sabotage, hawa dstv wasijifanye wanahati miliki ya epl uzuri ni kwamba hizo live streams zote hazitoki kwa hata moja. Wapunguze mabei yao kama wanataka tuendelee kuangalia dstv laki moja usawa huu?!
 
Kuangalia mechi moja ya ubora wa wa high def inakula kama mb 300 hivi ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…