Very cheap, kesho naita fundi aje ang'oe dish la hawa DStv, nawaambia finito!
Mzee mkubwa sikushauri ufanye hivyo.Hizi live streaming hazina uhakika from day to day. Ipo siku zinafanya kazi vizuri na siku zingine maruerue tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very cheap, kesho naita fundi aje ang'oe dish la hawa DStv, nawaambia finito!
Mzee mkubwa sikushauri ufanye hivyo.Hizi live streaming hazina uhakika from day to day. Ipo siku zinafanya kazi vizuri na siku zingine maruerue tu.
JF imekubadilisha sana. Sasa unaongea kiutu uzima hasa. Ushauri umepokelewa. Asante sana Mkuu Ngarna uliyehekimika.
Mkuu utani wa mpira usikufanye unielewe vibaya. Sio JF bali mimi ni mtu mzima na heshima zangu na kama utani wangu umekwaza nakuomba msamaha. Life is too short to have grudges.