I see nimejiunga!

I see nimejiunga!

msilujr

Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
12
Reaction score
0
Naskia pouwa sana kujiunga na JF, naitwa Msilu Jr, hodi hodi JF members...!🙂
 
karibu sana kaka hapa ndo home of great thinkers we dare to talk openly
tunategemea mchango wako utakuwa bomba sana.
 
Poa karibu uwe mchangiaji sio mtazamaji......naimani ulikuwa mtazamaji vya kutosha sasa umeamua kuingia uwanjani kumkoma nyani...
 
aisee! karibu sana baba angu,aisee habari ya huko utokako ?aisee umekuja na mbenge?
ha ha ha huju jamaa lazima atakuwa ni Mangi tu,maana wao ndio wanapenda mambo ya aisee aisee.
 
najua we umeshakaribia japo sio mwenyeji sana.nami pia nimejiunga so i do hope nitakaribishwa kwa mikono miwili na wanajamii wenzangu.🙂
 
Hodiiiiiiiiiii waheshimiwa wa Jamii Forums
 
Hah haha haa.. asanten isee kwa ukaribisho wa aina tofautitofauti, nimejikuta nacheka sana... kweli you are great thinkers nyie watu, duh.. thanks a million!
 
najua we umeshakaribia japo sio mwenyeji sana.nami pia nimejiunga so i do hope nitakaribishwa kwa mikono miwili na wanajamii wenzangu.🙂

Karibu sana jojig
 
karibu sana kaka hapa ndo home of great thinkers we dare to talk openly
tunategemea mchango wako utakuwa bomba sana.

Nakubali hapa ndo home of great thinkers... thanks bwana Ed and others
 
Nakubali hapa ndo home of great thinkers... thanks bwana Ed and others

Nadhani umepata mapokezi mazuri sana,sasa usiishie hapa karibu kwenye majukwaa mengine.
 
Huyu hajapata concept, ndiyo maana kauliza, na angepata asingeuliza, na swali bado halijajibiwa.

Blueray, unakumbuka kwenye IMF Conference, Bob Geldof alisema alipomuuliza Kikwete kwa nini hutaji wabadhilifu wa Bandari anaosema anawajua, Kikwete akamjibu kwa kicheko, unajua zile za kibongo za "we acha tu," basi mzungu hakuelewa body language ya Kitanzania, akadhani Kikwete kamdharau, akasema "you snicker"? Akaja kumrarua hadharani.

Ndio hizi sasa, jamaa anaulizwa kuhusu alichosema, anacheka! "Isee.. Aisee .. Ai see" ndio nini?
 
Welcome to JF.

Where nothing is a non-issue, not even nothing, actually, especially nothing.
 
Back
Top Bottom