Mapusha ndo wana tabia hii??sasa unga si una bei?Kwanini akuwekee bure?Umenyongewa kabisa ndo ukaenda kuvuta?
Nyinyi ndo mnachanganyiwa na unga mnageuka mateja
Usirudie tena kunyongewa kabisa
After kuzima..unabakwa,unaibiwaMapusha ndo wana tabia hii??sasa unga si una bei?Kwanini akuwekee bure?
Ukishakuwa Teja, hela yake inarudi na faida juu.Mapusha ndo wana tabia hii??sasa unga si una bei?Kwanini akuwekee bure?
Mkuu mbona Hilo Tom (Phantom) unalitoa kishamba HivyoPicha kwa hisani ya wajuba kitaani kwetuView attachment 1646474View attachment 1646475View attachment 1646476
Hata Mimi mwanzoni nlisema hvyo bse sikuwa navuta Moshi unaingia ndani ya ubongo...mpaka siku moja waliponitolea Tom moja kuuuuubwa kweli kweli wakaniweka juani (jua la saa nne) Hulu wakinielekeza nanna ya kuvuta ...Wakuu taangu jana nilikua katika trials kuchek what it feels mtu akivuta bangi nikaenda kwa mwana kununua halafu akaninyongea kabisa nikarudi geto mida ya saa 3 jioni nikafungua mlango kisha nikawasha AC then nikawasha mmea nikapiga mbili lakini hakuna kilichonitokea na wala siku hisi any vibe na moshi nilikua naumeza pia. This is overated shit wazeee
After kuzima..unabakwa,unaibiwa
Basi hawa jamaa wàna mahesabu maķaliUkishakuwa Teja, hela yake inarudi na faida juu.
hizo tabia zikogo kinondoni, pusha wangu temeke ni dogo nnaemuwekaga mjini akifulia, ananyongeaga kwangu za wateja wake, anazirebisha fresh tu... january nahamia kigambs, kwahyo bwanamdgo itabidi nimuamini na hii task!!!.Umenyongewa kabisa ndo ukaenda kuvuta?
Nyinyi ndo mnachanganyiwa na unga mnageuka mateja
Usirudie tena kunyongewa kabisa
Hata Chizi huwa anajiona yupo sawa tu, ila kwa wanaokuzunguka ndy wanaokujuwa uchizj wako..Wakuu taangu jana nilikua katika trials kuchek what it feels mtu akivuta bangi nikaenda kwa mwana kununua halafu akaninyongea kabisa nikarudi geto mida ya saa 3 jioni nikafungua mlango kisha nikawasha AC then nikawasha mmea nikapiga mbili lakini hakuna kilichonitokea na wala siku hisi any vibe na moshi nilikua naumeza pia. This is overated shit wazeee
Of coz nothing happens. Bangi nimevuta hata mimi. Nilichoona inakupa sana daydreaming as long as ile " handas " bado ipo kichwani.Wakuu taangu jana nilikua katika trials kuchek what it feels mtu akivuta bangi nikaenda kwa mwana kununua halafu akaninyongea kabisa nikarudi geto mida ya saa 3 jioni nikafungua mlango kisha nikawasha AC then nikawasha mmea nikapiga mbili lakini hakuna kilichonitokea na wala siku hisi any vibe na moshi nilikua naumeza pia. This is overated shit wazeee
unakaushaje unaanika au...?Of coz nothing happens. Bangi nimevuta hata mimi. Nilichoona inakupa sana daydreaming as long as ile " handas " bado ipo kichwani.
Na kitu kingine inakufanya unakuwa some sort of " introvert" ghafla na wakati wa handas hupendi kuwa distracted na kitu chochote.
Ndio maana wavuta bangi wengi wako so conscious na mtu kama anawapiga chabo. Hawapendi kabisa.
Hii habari kwamba eti inakufanya superman ni bullshit kabisa. Mi bangi nilikuwa napata mzigo nakausha mwenyewe. Au mara nyingine party ya bangi yaani boooonge la msokoto linatengenezwa halafu linavutwa kwa zamu kwenye mduara. Hatari sana.
Mi niimevuta bangi nina kazi ya kuajiriwa na mshahara poa kabisa. Miaka ile sasa niliachana na upuuzi huo. Ila niligundua sigara ni hatari zaidi sababu unavuta muda mwingi wakati ganja unapiga kwa mida.
Kama uko jobless au unaunga unga sana unaweza kuwa " hooked" sababu inakupa aina fulani ya kujiona you are so smart and everybody else around you is s
stupid. Hapo sasa uko jobless
Sasa wewe sema nothing happened,
When it happens it will be too late.
Inatakiwa ikauke polepole mi nilitumia jua vipi wewe ganjaman auunakaushaje unaanika au...?
kama kawaida.ukiianika unaifunika?Inatakiwa ikauke polepole mi nilitumia jua vipi wewe ganjaman au
Hallo sitaki kurudi kule tuishie hapo. I don't recommend ganja kwa mtu yeyote. Tutafute hela kwanza. Watu wengi tutawapoteza hapa wengine bado wanakula kwa wazazi wao hata hela ya boxer hawana. Utanisamehekama kawaida.ukiianika unaifunika?