I Think I love my wife

I Think I love my wife

Kwa mimi matendo yangu yatamfunulia my position kwake, nami pia toka kwake, kwisha.
 
''Nadhani'' duh! Lini utaachana na dhana na kumpenda kwa uhakika?
 
Huwa tunapenda kujibu tu, ooh mi nampenda sana mke/mume wangu, kwa sababu ni mke/mumeo. Hivi umeshawahi kuliwaza kwa undani... Mi nimefanya hivyo... na nadhani nampenda mke wangu.

You think?????? Or you Love???
 
Huwa tunapenda kujibu tu, ooh mi nampenda sana mke/mume wangu, kwa sababu ni mke/mumeo. Hivi umeshawahi kuliwaza kwa undani... Mi nimefanya hivyo... na nadhani nampenda mke wangu.

Kwa dhana yako mkeo imekula kwake!
 
unafikiri ila huna hakika kama unampenda? ukweli kama 'unafikiri' ni kuwa humpendi kama unampenda haina haja ya kumpenda
 
Huwa tunapenda kujibu tu, ooh mi nampenda sana mke/mume wangu, kwa sababu ni mke/mumeo. Hivi umeshawahi kuliwaza kwa undani... Mi nimefanya hivyo... na nadhani nampenda mke wangu.
yule mwenye kovu la jipu chini ya kalio la shoto?
 
Tuko, njia pekee ya kuhakikisha kama unampenda ni KUMFUKUZA kwa muda wa wiki 2 hadi 4, then you can confirm if u love her or not.
 
Bwana eeh ukiniambia i think i love you, na mi nakujibu hubby i think i love you too. Nakusindikiza na bonge ya kiss kwan nin bana.
 
Back
Top Bottom