Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Huwa tunapenda kujibu tu, ooh mi nampenda sana mke/mume wangu, kwa sababu ni mke/mumeo. Hivi umeshawahi kuliwaza kwa undani... Mi nimefanya hivyo... na nadhani nampenda mke wangu.
Huwa tunapenda kujibu tu, ooh mi nampenda sana mke/mume wangu, kwa sababu ni mke/mumeo. Hivi umeshawahi kuliwaza kwa undani... Mi nimefanya hivyo... na nadhani nampenda mke wangu.
yule mwenye kovu la jipu chini ya kalio la shoto?Huwa tunapenda kujibu tu, ooh mi nampenda sana mke/mume wangu, kwa sababu ni mke/mumeo. Hivi umeshawahi kuliwaza kwa undani... Mi nimefanya hivyo... na nadhani nampenda mke wangu.