RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,806 Reaction score 2,723 Jul 29, 2024 #241 Mi napenda maisha sana uwa napata ugumu kuelewa ni changamoto gan mtu anapitia ad kuona haina haja ya maisha na kuishi Najua dunia ina changamoto ming ila ndo uchukie kuishi?
Mi napenda maisha sana uwa napata ugumu kuelewa ni changamoto gan mtu anapitia ad kuona haina haja ya maisha na kuishi Najua dunia ina changamoto ming ila ndo uchukie kuishi?
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,600 Reaction score 59,760 Jul 31, 2024 #242 stephot said: Acha kukurupuka kujibu na akili yako ndogo,wapi nimemzuia asjiue,yeye ametaka tumpe ushauri kabla hajafanya maamuzi... Click to expand... Kashajiua tayari subiri mod's waandike RIP
stephot said: Acha kukurupuka kujibu na akili yako ndogo,wapi nimemzuia asjiue,yeye ametaka tumpe ushauri kabla hajafanya maamuzi... Click to expand... Kashajiua tayari subiri mod's waandike RIP