Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Tumain la kesho ndio kitu gani Wewe unajua kesho utakua Wapi Muda km huu?Unadhani ulichoandika ni sifa mkuu? Kila mtu yupo duniani kwa sababu maalumu, msaidie mwenzako sio lazima kumpa pesa, mpe tumaini la kesho.
Una mangapi yamekua mzigo mzito kwako na umeshindwa kuyatimiza una watoto wa Dada yako kule wanakuita anko wanashinda kwenda Shule sababu ya kukosa karo ya Shule wengine wamesimamishwa Chuo hujawahi kuchangia hata 100 Ila hapa unajitutumua kujifanya una roho nzuri sana