Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kwenye DP ni wewe?Shida Nini ndugu tukushauri?
Hata mie hapa nna magumu yangu yanayoniacha mpweke hata nkimwambia mtu hanielewi. Ila nimechagua kupambana nayo
Mungu yupo kwa wanaosubiriHuo ndo wanaume, hiyo pesa nilikua nimeisotea nje ya nchi na washa viombo na kubeba ma box kama wa bongo wanavo tukejeli kwa miaka 7, jamaa angu kaniuguza asbhi mapema, ila nili kubali matokeo ya uchaguzi ni kasonga mbele leo niko hapa a live and kicking, Allah is great.
Yaani weweHuyo kwenye DP ni wewe?
Nimefanya nini tena?Yaani wewe
Ukajipunzishe wapi tena mrembo?Hauko pekee yako mkuu.Mimi mwenyewe nataka nikajipumzishe
Unadhani ulichoandika ni sifa mkuu? Kila mtu yupo duniani kwa sababu maalumu, msaidie mwenzako sio lazima kumpa pesa, mpe tumaini la kesho.Muache afe unamuonea huruma kaweka Namba ya Muamala tuma million sasa hivi ili asife
Jamaa naona kakomaa na comments zake za kumnanga mleta mada.Unadhani ulichoandika ni sifa mkuu? Kila mtu yupo duniani kwa sababu maalumu, msaidie mwenzako sio lazima kumpa pesa, mpe tumaini la kesho.
Mkuu kama wanao bado hawajaelewa kama usemavyo,tafadhali husijiue maana utawaachie shuruba nzito. PambanaWadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu
Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.
Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.
Mungu awabariki sana
Watu tuna assume kuwa kule kuna nafuu maana unakuwa hujui kituHivi watu wana uhakika kifo ndio muda wa mapumziko?
I will greet this day with love in my heartWadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu
Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.
Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.
Mungu awabariki sana
Tafuta sana msaada wa kiroho. Binafsi nilikuwa nadharau sana huu ushauri wa kutafuta msaada wa kiroho. Niliwahi kuwa katika hali hiyo na nilitoka huko kupitia msaada wa kiroho. Usikate tamaa kabisa bado una nafasiWadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu
Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.
Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.
Mungu awabariki sana
Na ametumia smartphoneNdugu kuna watu wapo kwenye wakati mgumu kiasi cha kutoelezeka lakini wanaendelea kupambana na kutumaini wakati mmoja watavuka.
Wako wewe hata umepata nafasi ya kuchapisha andiko hili kwenye mtandao huu unafikia kusema hayo!
Jitafakari upya.