I think its my time to rest, I am nothing in this world

I think its my time to rest, I am nothing in this world

Kuna nyakati kama huwezi ku act kama mtu mzima bora ukae kimya mkuu🙏

Ukiona mtu anaongelea kujiua ni very serious issue na mara nyingi wasipopata msaada wanaishia kujiua kweli mkuu.
Utajisikiaje ukijua huyu mtu uliyemdhihaki kajiua kwel kaacha wanae?
Tambua JF watu wengi ni wapweke hawana wa kuongeq nao na mimi na wewe ndio ndugu zao.
Ongea jambo limponye kama ni chai atajua mwenyewe🙏🙏
😜😜😜😜
 
Wadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu

Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.

Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.

Mungu awabariki sana
Unaweza ukawasiliana na mm pm
 
Kaka Kama Uko na nafasi hata ya kuandika na kunua bando Hebu Mushukuru Mungu kwanza.
Bila shaka smartphone ni yako pia.

Huko unakotaka kwenda kupumzika ulipeleka kitanda? Godoro Au unapajua?

Tumia nafasi yako na Muombe Mungu akupe upenyo ufanye jambo likukwamue.
Tafuta kibarua Songesha Maisha na wanao.
 
Pole sana mkuu ila kama wewe mtu mzima umekosa wa kukuonea huruma umefikiria kuhusu watoto wako?? Nani atawaonea huruma wakati wewe haupo, unajua shida na mateso watakayopitia?? Kabla hujafanya unachotaka kufanya hebu kaa na watoto wako uwaangalie halafu uangalie mazingira yanayokuzinguka uone ni nani atawahurumia
 
Wadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu

Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.

Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.

Mungu awabariki sana
Kuna wakati mtu utamani hata kujiondoa uhai kwa shida hizi za dunia ila ukikaa chini ukafikiria ata ukijitoa uhai familia yako bado itakua na mzigo wa kukopa pesa kuendesha msiba wako hivyo utaiachia shida pia, unaamka usingizi unajikung'uta vumbi unaendelea kupambana💪 never give up! mwanaume hafi kinyonge
 
Fikiria kwanza kabla ya kutoweka duniani utaenda peponi kupumzika kweli ( na kula mabikra 70 ) au motoni (kulia na stress) af fanya maamuzi sahihi.
 
Nilitapeliwa niliuziwa aridhi hewa.
Pole sana sana. Binafsi nilinunua eneo kwenye main road kwa 55m. Baada ya miezi sita hivi, Serikali ikaja na plan ya kuweka mzani wa kisasa. Uthamini ukafanyika, kimahesabu naweza pata 14m hivi. Hakika ni loss kubwa ila maisha lazima yasonge. Tutumie changamoto hizo kama kichocheo cha kutufanya kuendelea kupambana
 
Huo ndo wanaume, hiyo pesa nilikua nimeisotea nje ya nchi na washa viombo na kubeba ma box kama wa bongo wanavo tukejeli kwa miaka 7, jamaa angu kaniuguza asbhi mapema, ila nili kubali matokeo ya uchaguzi ni kasonga mbele leo niko hapa a live and kicking, Allah is great.
 
Back
Top Bottom