Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Covax Huy aibiwe milion 70 kaitolea wap na biashara yake kubwa ni kukopesha neti na vitu vya plastiki majumbani. Muha huyuMkuu ushawai kushika 70m 🤔, au hapa unatumia psychology tactics kumfanyia canceling jamaa